Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu. Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi. Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka! Hawa madogo ndio...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry. Anaonekana...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia Roho ya...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
I said kwamba baada ya timu kubwa Belgium na German Kauga atafuata Spain then Argentina...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Morocco imeingia semi final kwa jasho na damu, wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu, namna wanavyocheza unapata hamasa kuwapigania na kuwaombea kwa mungu wapeperushe bendera ya africa. Wakat...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili ni somo kwa vilabu vyetu vya Simba na Yanga vinavyokwenda kushiriki championship kuwa ukitaka kufanya vzr basi jiandae kimkakati mapema kama walivofanya Morocco. Morocco walipofuzu tu kombe...
3 Reactions
8 Replies
621 Views
Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kyombo 10’ Phiri 15’P 18’ 24’ 69’ Sakho 28’ Chama 32’ 74’
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barbara waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Hawa jamaa sijaona kama wamekosea kwenye kauli zao, akili ya kulilia dedication kwenye mafanikio yao ndio inaonesha root ya mawazo m’bweteko ya kiAfrica. Sidhani kama utasikia mholanzi akisema...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos. Mshambuliaji huyo alianzia benchi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Inashangaza wanaume wa hii timu kumuonea gere mwanamke na wanafurahia sana kwamba amejiuzuru. Jambo ambalo si la kawaida ni pale wanapohusisha mahusiano yake ya kimapenzi na Mo ( bila shaka...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila nikitazama uchu wa mwingereza kuchukua kombe hili, na kikosi alichonacho, aiseee! It's coming home. Wafaransa wanapendwa kwa rangi yao tu na kidogo vijina vya wavulana wao wanaorukaruka...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wachezaji a club tajwa Kwa hakika hawakuitwa na timu za nchi zao kwenye world cup tournament na Kwa kweli bora wauzwe wote. Wamedhihirisha kutoitwa kwaao na Coaches was right kutowaita. Lakini...
2 Reactions
6 Replies
832 Views
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama...
21 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom