Mashabiki wa Simba bado mnaamini Yanga inatumia bahasha kupata matokeo?

Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,903
3,919
Nipo hapa kuwauliza mashabiki wa Simba na viongozi wao, je, bado mna imani Yanga haishindi kwa uwezo?

Bado mnaamini Yanga inatumia bahasha na Tigo Pesa kupata matokeo? Mashabiki wa Simba ni miongoni mwa mashabiki wajinga kuwahi kutokea Dunian, yaani wanaamini zaidi propaganda kuliko uhalisia wenyewe.

Viongozi wao wanawalisha propaganda kuwa wana timu bora kumbe uongo mtupu.

Ikitokea wamepelekewa moto na timu za ligi kuu halafu hiyo timu ikaja kupigiwa soka la kiwango cha SGR na Yanga, utasikia wanavobwabwaja kuwa hiyo timu imecheza chini ya kiwango tofauti na ilivocheza na wao!

Yaani hawaamini kama Yanga kwasasa ni bora kuliko wao, mkiendelea kuwa na imani hizi za kijinga Yanga atatangaza ubingwa mapema sana.
 
Ubora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.
 
Huu ubora wa Yanga ukifika KLABU BINGWA huwa unatokomea wapi?
 
Hahahahaaaaaaaaa.....NGAYAAAAAAView attachment 2428589
Screenshot_2022-11-19-20-09-42-07.jpg
 
Ubora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.
Wewe wamekugonga kwa jezi nyeusi?
 
Ubora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.
Akili zao ndo hizi,sasa hivi wameamia kwenye jezi yaani vichwa vyenu ni kama vizibo vya kufunikia shingo tu
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom