Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli...
2 Reactions
9 Replies
316 Views
Hapo VIP! Unajua yanga ni club inayoafanya maandalizi kwa kutumia mbinu nyiingi sana ,hususana akiwa Na match Na mtani wake Simba sc,yanga yupo tayari kutumia mbinu yeyote zagizani au...
3 Reactions
28 Replies
527 Views
Ni suala la mda Ni wazi umafia wa Klabu ya Yanga anao mfanyia Simba, ipo siku kutakucha na taarifa ya "SIMBA IMESAJILIWA NA YANGA"
4 Reactions
9 Replies
171 Views
Wanataka kutuharibia weekend Hawa. Chuma mbili first half?
5 Reactions
24 Replies
410 Views
Huyu kocha jau mfumo wa back three hauwezi kukufikisha popote hatuna beki bora wa kuendana na mfumo,ona sasa tunapigwa kama ngoma. Mechi tano tumefunga goli 10-tumefungwa 12 . Martinez...
6 Reactions
13 Replies
294 Views
Lionel andres Messi, is an Argentinian professional footballer who plays as a forward for League One club Paris Saint-Germain and the captain the Argentine national team. Widely regarded as one...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Afisa wa Yanga ambaye hakufahamika jina lake mara moja akitaka kuzichapa na mtu aliyemtuhumu kurekodi mazoezi ya Klabu hiyo katika Uwanja wa KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam mapema leo Alhamisi...
3 Reactions
13 Replies
326 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Hapo VIP! Wanajua Simba sasa hivi inakikosi imara Na hawezi kushinda match. Sasa kuweni making wachezaji wasinunuliwe Na vijisent wakauza match.Hawa jamaa mnajua wanatembelea upepo wa siasa...
4 Reactions
11 Replies
250 Views
Klabu ya Young Africans (Yanga) leo, Septemba 15, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27. Yanga inaingia...
3 Reactions
112 Replies
2K Views
Manzoki, striker la boli rasmi anakuja kukipiga msimbazi. Atatangazwa kwenye dirisha dogo. Hongera sana tajiri mo.
3 Reactions
11 Replies
314 Views
Huu si uhujumu uchumi au uhujumu timu jamani. Angalieni wenyewe. https://youtube.com/shorts/GbyyrFPBhrs?si=kPuSA8DDXrH5NXIw
1 Reactions
10 Replies
257 Views
Wizara inataka kuingilia majukumu ambayo si yake, kama inatoa hela si sababu ya kudizaini hadi jezi wanazotaka wao Matokeo yake Serikali ndio itaelekeza jezi ziwe na muonekano gani mwisho wake...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Lionel Messi ameitwa tena kwenye timu ya taifa ya Argentina kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin, Oktoba 6, 2026, utakaochezwa katika Uwanja wa Monumental jijini Buenos Aires. Mchezo huo...
1 Reactions
10 Replies
247 Views
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba...
3 Reactions
30 Replies
592 Views
  • Redirect
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imesema inakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda aliyoitoa hivi karibuni kuhusu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs. TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
0 Reactions
5 Replies
51 Views
Kati ya wachezaji 11 walioanza derby, ni CHERKI PEKEE aliyerudia kuanza leo. Wengine 10 wameachwa nje ya kikosi cha kwanza. Leo City wamewafungulia mlango watu wa benchi, wale ambao kwa kawaida...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Back
Top Bottom