Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club. Mimi si shabiki maandazi. SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na...
63 Reactions
244 Replies
10K Views
Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika. Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya...
3 Reactions
9 Replies
396 Views
In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Lapotra Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mwenza wa Rais Samia Na Mwandishi wetu - MAELEZO Rais wa Klabu ya Barcelona FC, Joan Lapotra amemkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
2 Reactions
3 Replies
151 Views
Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa...
3 Reactions
9 Replies
256 Views
Halafu mwambieni hakuna Timu inayoitwa Mighty Wandalas kama anavyotamka hapa bali kuna Timu iitwayo Mighty Wonderers.
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Jamni niko Dar nina dawa ya ukweli kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,ndani ya wiki utakuwa umepata jibu Na kwa wanawake ambao hawashiki ujauzito,mwenye uhitaji anafwate inbox
3 Reactions
29 Replies
409 Views
The Video Assistant Referee (VAR) officials involved in Erling Haaland’s controversial winning goal during Sunday’s Manchester derby have been stood down following a review of the incident. VAR...
1 Reactions
4 Replies
113 Views
ninauliza ni kweli uwanja wa yanga pale jangwani kuna hatua za ujenzi zimeanza
2 Reactions
8 Replies
237 Views
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, amesema hana presha licha ya kuanza msimu huu bila kufanya vizuri. Doumbia amesema ameanza taratibu, lakini bado ana matumaini ya kufanya vizuri zaidi...
1 Reactions
10 Replies
252 Views
Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
2 Reactions
5 Replies
173 Views
Chama cha Waamuzi cha England kimekiri kufanya kosa katika kuruhusu goli la ushindi la Manchester City dhidi ya Manchester United, ambapo Man City ilishinda 1-0 katika uwanja wa Old Trafford...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata...
1 Reactions
39 Replies
547 Views
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza...
13 Reactions
340 Replies
5K Views
Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi...
10 Reactions
32 Replies
491 Views
Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026. Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya...
8 Reactions
202 Replies
3K Views
Kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U20) ya Azam FC, Iddy Salim, amefariki dunia baada ya kupata ajali ya bodaboda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Ijumaa Septemba...
2 Reactions
17 Replies
531 Views
Back
Top Bottom