Siku zote nilikua nashangaa kwa nini huyu 'jamaa' alikua anafagilia sana 'sera' zile...
Mpaka akaweka kama mojawapo ya masharti ya nchi zetu kupata misaada...!!
Sasa ndio naelewa kwa nini...
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni...