Leo siku muhimu kwa mzee wetu Alhaj Mohamed Said; Happy birthday Mzee wetu!

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,246
aa2aae2c1e44be13abc918348d2fcaa1.jpg
81f52e1670e21f72ad997e325ea2d6f4.jpg
 
Kila la kheri mzee, allah akulinde kwa mabaya na uelendelee kuishi miaka mingi zaidi
 
Mzee huyu kwa hadithi za Wazee wake wa Dsm ananiachaga hoi sana.
Ndio tatizo lenu ilo hataki kusikia ukweli unaelezwa historia sahihi ya Uhuru na mji wa mzizima unaona hadithi unataka porojo za kutoka lumumba
 
Ndio tatizo lenu ilo hataki kusikia ukweli unaelezwa historia sahihi ya Uhuru na mji wa mzizima unaona hadithi unataka porojo za kutoka lumumba

Tatizo lake anaamini Tanzania ni Kariakoo na Msimbazi.Kwa hiyo anakupigia hadithi ndeefu za mitaa ya Msimbazi mpaka unachoka mwishowe anamlaumu mwalimu kwa kutowapendelea wazee wake.

Namshauri wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ajitahidi kuandika historia ya Dar es salaam.Afike na maeneo ya Kinondoni na Buguruni.
 
Kwa umri wake yupo sahihi kbs maana kipindi hicho mji ulikuwa karikoo mwisho Misson kota ni km ww na mie kipindi chetu cha utu uzima kikufika tutaeleaza Dar es Salaam yetu khs hao wazee mwalim na kweli mwalim aliwatupa yy mwenyewe mwalim amewai kusema hivyo turudi walivyokutana mwalim na dossa Aziz kizota dodoma karibu machozi yamtoke nyerere
 
Back
Top Bottom