Kumbe..!! Nilikua sijaelewa miaka yote hii....

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,454
975
Siku zote nilikua nashangaa kwa nini huyu 'jamaa' alikua anafagilia sana 'sera' zile...
Mpaka akaweka kama mojawapo ya masharti ya nchi zetu kupata misaada...!!
Sasa ndio naelewa kwa nini....!!!
Duh....!!!

nw_052112_domcvr.jpg
 
Kwa kiongozi akishatoka madarakani waga yanasemwa mengi sana, raisi hawezi kupendwa na kila mtu ata siku moja, haya yalikuwa wapi kabla hajamaliza muda wake na uzuri wa nchi ya marekani wanachi wana uwezo wa kusema chochote kuhusu kiongozi wao ata kama ni jambo la kumdhalilisha

All in all hii sio habari ya kushabikia tu labda kisa humpendi obama au laa, issue kama hii nisawa na madawa inahitaji ushahidi nasio hisia tu, na kuhusu sera kwa nchi kama marekani haitungwi na raisi bali inatekelezwa na raisi, nisawa na jinsi ambavyo marekani inaziandama nchi za kiarabu ile sio sera ya Raisi bali ya nchi

Sipo hapa kupinga ila sitaki kuamini kwa reason nyepesi hivi
 
Sera ya 'Travel ban' inayohusu nchi saba za kiislam imeletwa na nani...?? Rais wa Marekani wa sasa au.....???
 
Kwa kiongozi akishatoka madarakani waga yanasemwa mengi sana, raisi hawezi kupendwa na kila mtu ata siku moja, haya yalikuwa wapi kabla hajamaliza muda wake na uzuri wa nchi ya marekani wanachi wana uwezo wa kusema chochote kuhusu kiongozi wao ata kama ni jambo la kumdhalilisha

All in all hii sio habari ya kushabikia tu labda kisa humpendi obama au laa, issue kama hii nisawa na madawa inahitaji ushahidi nasio hisia tu, na kuhusu sera kwa nchi kama marekani haitungwi na raisi bali inatekelezwa na raisi, nisawa na jinsi ambavyo marekani inaziandama nchi za kiarabu ile sio sera ya Raisi bali ya nchi

Sipo hapa kupinga ila sitaki kuamini kwa reason nyepesi hivi

Angalia vizuri bandiko hilo ni la mwaka 2012..!!
Wakati huo jamaa alikuwa madarakani... Kipindi cha pili cha uongozi wake.....
 
Marekani shoga ni msenge au basha, wote wanaitwa Gays, kwa hio huyu ni nani? Gay+ au gay - ?ingawa yote ni laana.
 
Haya wee unae dai ni uzushi kazi kwako
 
Attachments

  • The__First_Gay_President__Obama_-_Louis_Farrakhan%281%29.mp4
    15.4 MB · Views: 31
Back
Top Bottom