warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli