Luxury cars 2017

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,222
3,172
2017-Porsche-Cayenne-coupe-facelift-1.jpg

Porsche Cayenne Coupe.

Mange sijui hata upgrade!
 
Mkuu huyo Hamilton na hela za Formular One ni haki yake kumiliki Enzo Ferrari ya maranello.kashinda ubingwa wa dunia 2007,2014,2015. Na ni dereva ambaye ambaye analipwa zaidi.
Hivi yule mwamba ashatoka kwenye coma ? Sijafuatilia haya mambo siku nyingi
 
Gari ni mjeremani tuu. Wengine waongo aisee! I love German cars. If it was my wish sidhani kama ningeweza kununua gari from any other manufacturer.

Das ist auto!
 
Back
Top Bottom