Hunyu JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,774 4,323 Feb 26, 2017 #2 Weka picha ya Prisla David, tuthaminishe kwanza. Hongera Bw. Joseph Gerad kwa kujipatia papuchi ya Bure
Weka picha ya Prisla David, tuthaminishe kwanza. Hongera Bw. Joseph Gerad kwa kujipatia papuchi ya Bure
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Feb 26, 2017 #4 ITV walionesha mdau aliyetabiri kwa dau 50,000 akimwagikwa mvua ya machozi!!!
wakusoza JF-Expert Member Sep 30, 2016 628 648 Feb 27, 2017 #5 hongera jose kwa kujishindia mke wa m2 najua na hii bard upo unafinya mzgo
N ngonza JF-Expert Member Sep 29, 2014 354 235 Feb 27, 2017 #6 Sahihi na muandishi ni mtu mmoja! Ameshindwa kuwa makini ktk kudanganya
plascreen Member Aug 11, 2014 61 34 Feb 27, 2017 #7 Yaani mwanzo mwisho anaonekana muandishi mmoja tu
M mugajamii JF-Expert Member Apr 20, 2013 859 488 Feb 27, 2017 #8 plascreen said: Yaani mwanzo mwisho anaonekana muandishi mmoja tu Click to expand... Na sahihi ni moja pia?
plascreen said: Yaani mwanzo mwisho anaonekana muandishi mmoja tu Click to expand... Na sahihi ni moja pia?
Ndera JF-Expert Member Sep 11, 2013 653 548 Feb 27, 2017 #9 nyumbatatu said: View attachment 474618 Click to expand... Hii mwandiko na sign zote ni mtu yuleyule! Umeghushi Mkuu.
nyumbatatu said: View attachment 474618 Click to expand... Hii mwandiko na sign zote ni mtu yuleyule! Umeghushi Mkuu.
Senator Hans JF-Expert Member Jul 22, 2016 600 377 Feb 27, 2017 #10 robert sendabishaka said: ITV walionesha mdau aliyetabiri kwa dau 50,000 akimwagikwa mvua ya machozi!!! Click to expand...
robert sendabishaka said: ITV walionesha mdau aliyetabiri kwa dau 50,000 akimwagikwa mvua ya machozi!!! Click to expand...