Nyie under sixteen mda shida sana,Anyway akitafutacho mtu ndio hukipata, usitukane wakunga na uzazi ungalipo..labda kama we ni TASA/ MGUMBA/JAMES DELICIOUS/HANISII/ etc basi endelea kutafuta na nyingine utuletee ili upate sifa..Kwaresma inakuja fanya toba Mungu atakusamehe
Mungu kaumba alivyotaka yeye ili utukufu wake uheshimiwe. Kumbuka bado uu hai na lolote laweza kutokea ili Mungu azidi kutukuzwa. Mshukuru Mungu ulivyo (sikujui) kwani hayo ndio mapenzi yake na tena mshukuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.