Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,931
Mende kasababisha Kabati livunjweSijaelewa ngoja nikae pembeni kidogo.
Funguka mkuu hapo kuna fumbo.Mende kasababisha Kabati livunjwe
Sijaelewa ngoja nikae pembeni kidogo.
Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.Funguka mkuu hapo kuna fumbo.
Ngoja niende InstagramMkuu wa sirikali anavunja nyumba kwa kusaka mende,mtoto panya akataka kupayuka kuwa labda anataka kumwajibisha Bashite,Baba Panya akamuwahi kwa kumwambia Sshhhh ili tuone kama yaliyomo yamo!!
Noted mkuuJamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende huyo mwenye kutafutwa
Ndo uhalisia wenyeweJe ni kweli kama alivyomaanisha kipanya katika hiki kibonzo au anazidisha chumvi?