The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,068 13,485 Feb 28, 2017 #5 Ningenunua maandazi yote na kiandazi kimoja.
Kunguru Mjanja JF-Expert Member Aug 22, 2012 2,044 3,963 Feb 28, 2017 #8 Huyu jamaa mwenyewe sidhani kama mawazo yake yapo kwenye maandazi hapo
Pythagoras JF-Expert Member Sep 24, 2013 1,913 4,935 Feb 28, 2017 #9 kweli mjasiliamali anatakiwa awe mbunifu, hapo bidada anauhakika wapo watakao keep chenji, na uhakika wa bidhaa kuisha in time
kweli mjasiliamali anatakiwa awe mbunifu, hapo bidada anauhakika wapo watakao keep chenji, na uhakika wa bidhaa kuisha in time
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Feb 28, 2017 Thread starter #10 Sinza kumekucha
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,564 6,847 Feb 28, 2017 #11 Hapo ni kuja na chupa yako ya chai kabisa, huondoki.
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Feb 28, 2017 Thread starter #13 kizaizai said: Hapo ni kuja na chupa yako ya chai kabisa, huondoki. Click to expand... Tena awe anakumamania kwenye kikombe taratiiiibu
kizaizai said: Hapo ni kuja na chupa yako ya chai kabisa, huondoki. Click to expand... Tena awe anakumamania kwenye kikombe taratiiiibu