Maskini ila tuna FURAHA

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
80754b0cb03a271b5384ec01c1bb13f4.jpg
article-2198927-02A5E59E0000044D-400_638x402.jpg
b08394d8a1efdf13236c23b019bc26bf.jpg
girlies.jpg
kisenyi-019.jpg
kisenyi-09.jpg
 
ivi huwa inakuwaje mpaka mtu anazungusha form four!
yaani miaka minne unasota school then mwisho wa siku unakuja mtaani na Obama!
mie ningekuwa ndo Ndalichako hakika lile suala la kupokelea matokeo mahakamani ndo kingekuwa kipaumbele changu.
Huwezi jua ndugu yangu tumeumbwa tofauti. Hebu vuta picha ingekuwaje kama tungekuwa tunafaulu wote
 
unaweza kuwa masikini lakini ulifaulu mtihani wa darasa la nne, sio kama bashite.bashite alifeli hadi standard four, akazungusha form four, lasaba ndio kabisa alifeli, university ndio kabisaaa.
 
dah namwonea huruma nikiwaza je ofisin anakwenda? Panakalika?

Je nyumbani inakuwaje? Ndugu zake, mwenyewe amezoea maisha haya ya heshima mara alindwe mara nn,

dah lazima umkumbuke kikwete. Haya yote yasingetokea.

Kwa sasa tulia, ukitumbulia fanya biashara hope ulikuwa unawekeza,
 
Back
Top Bottom