Nimeamka tumbo linaniuma

flamini

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
533
584
jana kwenye bata usiku nilikula hivi
C3W12wDXUAAbcXz.jpg
 
Mkuu hata mimi ishanitokea, ila ilikuwa makande, yai na chill sauce tu. Ilikuwa balaa
 
kande na pombe ya bei mbaya,dah lakini kila mtu ana priorities zake.
 
Huwa najiuliza sijui Nchimbi aliamkaje baada ya juicy na pipi kifua
 
Ukienda washroom tupia picha basi tuone matokeo. Nahisi hata inzi watatimua mbio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom