Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
1.jpg
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James Delicious
na Mange Kimambi

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi

Sidhani kama Wema ana madhara kwa CCM zaidi ya alivyoondoka Lowassa na Sumaye na pia sidhani kama Wema atakuwa na faida kwa Chadema zaidi ya Dr Slaa na Zitto Kabwe
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unaendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
 
Kahama Lowasa, Mzee Kingunge na wengine wengi chama hakikuvunjika sasa WEMA ni nani kwa CCM, yaani ni kama sisimizi kwa Mwanadamu. Yaani hiyo sauti imefumbua macho ya watu.
Kama alihama lowasa kura zenu zilipungua toka asilimia 61 mpaka asilimia 51,tena hizo 51 nimazngahombwe mpaka leo watu hawaamini,,,so don't forget wema ni super popular
 
Kama alihama lowasa kura zenu zilipungua toka asilimia 61 mpaka asilimia 51,tena hizo 51 nimazngahombwe mpaka leo watu hawaamini,,,so don't forget wema ni super popular
Kwa hiyo unaamini kura zilipunguzwa na kuhama kwa Mh.Lowasa?
Hicho chama cha kijani, kinapungua umaarufu na ushawishi kadri muda uendavyo rejea matokeo ya Mh.Kikwete 2005 na 2010.
Elimu na siasa za mkumbo pia hupunguza kura za chama hicho pamoja na mifano kutoka nchi jirani zilizoweza kufanya mageuzi ya kisiasa kwani huko nyuma CCM waliweza kuwaaminisha wapiga kura kuwa wao wakitoka madarakani watatoka na walimu, madaktari , jeshi na vingine vingi ila leo hawawezi kusema hayo watu wameelimika kiasi...
Wimbo wao uliobaki ni kuwa wapinzani wakiongoza nchi wataleta vita.
Kizazi cha kudanganywa kinapotea hivyo hicho chama kama hakita badilika na kutegemea ujinga wetu kitegemee kupunguza zaidi kura zake.

Namtakia mafanikio Wema, abadilike sidhani kama katika Upinzani atategemea mfumo wa kutegemea mashabiki wa Instagram, kama kuigiza aigize kweli akuze jina haya binamu yangu Sophia pale Manza Bay Tanga na Lituhi Mbinga amfanye 'role model' wake.
Upinzani si kick ili apate nafasi bali mambo yagusayo umma.

Akina Mh. T Lissu wamfunze kuanzisha miradi imbayo itagusa wanawake, watoto na jamii kwa ujumla.

Hiyo itamfanya aonekane Wema mpya na kuaminiwa na watu kuwa amebadilika kweli kwani licha ya kuwa na mashabiki wengi huko IG bado hao mashabiki wake walikuwa wakimwona bado hatoshi kutwaa uongozi zaidi ya kuwachangamshia IG.

Mapambano yanaendelea
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unaendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Hao washangiliaji na wafuasi wao so wanaongeza idadi ya kura

Basis vizuri
 
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Followers ndio uchafu gani? Ma house girl wamewah kwenda kupiga kura lini?
 
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Mkuu hv unajua unachokisema au unamapenzi mubashara tu na Wema? kwa taarifa yako vijana si wapiga kura ilo unatakiwa kujua pia unatakiwa kujua Mashabiki wa Wema ni watu wa aina gani nataka kukwambia Ushawishi wa wema ni kwa watu aina fulani ambao si watu wakutegemea kuanzia kimawazo au kimipango

Mfumo ndio unaendesha CCM najua smart thinker watanielewa ninaposema (mfumo) si mtu so watu wanaitaji CCM kuliko CCM inavyowaitaji wao trust me hakuna mtu aliyekuwa CCM akaenda vyama vya upinzani akafanikiwa kwani ukiwa CCM uko ndani ya Mfumo ukitoka nje ya CCM utakuwa nje ya mfumo leo wema Controlled-access aliyokuwanayo wakt yuko CCM ndio imeondoka she has nothing Wema anaitaji sana Support ya CCM na wana CCM kwa sababu wema si mwanasiasa bali ni mtu maarufu tu na siku zote mtu maarufu ana ushawishi tu bt mwanasiasa ana ushawishi na nguvu za kimamlaka so just wait en see
 
Back
Top Bottom