Mwisho Leo

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
IMG-20170228-WA0003.jpg
 
IVI WALE WENYE MAGODOWN YAO WATALIPWA NA NANI FIDIA KWANI SI LESENI ZILIKUWEPO?
MI NINGEUZA KAMA VIPODOZI KAROLAIT MPAKA VIISHE HELA ZENYEWE HAKUNA MTU Aaniambie mambo haya never
 
Nilikuwa sijaisoma namba sasa nami ni zamu yangu kuisoma ama kweli hakuna jiwe litaachwa juu ya jingine nina carton za kutosha sijui nitavipeleka wapi
 
cha buku nanunua mpaka 200 mi nachukua karton zangu kadhaa naziweka geto ni kuvigonga tu
 
Back
Top Bottom