Aisee.. haya jamani wachumba haoo.. wakumwaaga..
Punguza sumu hizo Matata, utakuja kujuta bure.....shauri yako!Kisulisuli huohuo unapeperusha waume za watu vyumbani kuja kuchukua hao....
Kisulisuli huohuo umepeperusha wachumba za watu na wake walioachika kusubiria waume wapya waje wawaoe....
Yaani mie sumu niliyonayo juu ya ndoa, acha nibaki kimya. Kila la kheri wenye kuiendea.
Namuona Dada mmoja wa jf kakurupuka mbio mbio
Chanzo cha Haya yote Ni ccm iliyoleta maisha magumu kwa vijana.
Dada zangu ikataeni CCM kila kitu kitabadilika