Ile bendi ya mapingamizi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
12,565
Points
2,000

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
12,565 2,000
Mpiga transpet yuko nje anaogopa kurudi bongo anahofia usalama wake na dj nae anazingua inasemekana hataki kuachia mike wakati wale washeheresha jukwaa yule wa mbeya nawa mikumi wao wako kimya ila mpiga gitaa mmoja kahamia chama kingine kwa sasa walobaki ngoma ishatoboka lakini bado inapigwa tuu hadi mlio sio starehe tena kwetu sisi washabiki tumebaki kusiki kelele tuu
HII BENDI MBONA IMEKOSA UMAARUFU SIKU HIZI
 
niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
6,205
Points
2,000

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
6,205 2,000
Nauliza swali kama mtu nisiye na chama, je nyinyi matakwa yenu ni yapi? Mnataka kuwepo vyama vya upinzani au mnataka turudi kwenye chama kimoja kama tulivyokuwa tangu 1962 mpaka 1992? Mjibu bila mihemko.

Mimi kwa upande wangu naona turudi kwenye chama kimoja sababu nchi yetu bado haipo tayari kukabili ushindani wa vyama vingi. Wenzetu Kenya ingawa wamejitahidi lakini tuliona damu zilivyomwagika sababu ya hilo.

Nchi pekee ambayo imeingia kwenye vyama vyingi bila matata ni Zambia na tunamuona baba yetu Kaunda bado anapeta. Malawi wamejitahidi sana vile vile lakini sisi bado sana. Naona tubaki na chama kimoja mpaka watu wapate elimu tosha.
 
nasnay

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Messages
393
Points
500

nasnay

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2015
393 500

Ulikuwepo miaka ile ya 62? Tuanzie hapo kwanza bila Mpumuo.
 
niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
6,205
Points
2,000

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
6,205 2,000
Ulikuwepo miaka ile ya 62? Tuanzie hapo kwanza bila Mpumuo.
Ndiyo na nasoma vidudu mpaka tukapewa vikombe vya kijani na njano na vyeusi vya uhuru. Nilikuwepo wakati tunasherekea uhuru mimi mama ameniweka chini amembeba marehemu mdogo wangu na mimi nikapewa kikombe cha njano ambacho siku mtoto wangu wa kwanza naoa nilimpa kama zawadi ili ajue kuwa nilikuwepo wakati tunapata uhuru 1962.

cc mshana jr. kama shahidi mchawi maarufu aliona kwa darubini yake.
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
4,190
Points
2,000

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
4,190 2,000
HII BENDI MBONA IMEKOSA UMAARUFU SIKU HIZI
View attachment 1228665
Pima jitahada zako za kutengeneza hii post na idadi ya watu watakaounga mkono (kati ya hao toa angalau nusu kwa kuwa kuna waimba mapambio wenzio wana kwa uchache ID 5) utapata majibu ya kiwango cha kukubaliwa Jiwe nchi hii.
Majibu utakayoyapata ni afadhali mara 100 kuliko ningekuambia uchanganye na mwitikio wa watu kujiandikisha kupiga kura.

Update: tangu ulipo-post huu utumbo wako jana umepata wachangiaji (achilia mbali uliowategemea wakupe like) wangapi?
That should tell you a lot.
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,931
Points
2,000

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,931 2,000
Pima jitahada zako za kutengeneza hii post na idadi ya watu watakaounga mkono (kati ya hao toa angalau nusu kwa kuwa kuna waimba mapambio wenzio wana kwa uchache ID 5) utapata majibu ya kiwango cha kukubaliwa Jiwe nchi hii.
Majibu utakayoyapata ni afadhali mara 100 kuliko ningekuambia uchanganye na mwitikio wa watu kujiandikisha kupiga kura.

Update: tangu ulipo-post huu utumbo wako jana umepata wachangiaji (achilia mbali uliowategemea wakupe like) wangapi?
That should tell you a lot.
nonsense
 
Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,683
Top