Hakuna kama MAMA

Pyaar

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
15,341
75,513
20190514_133847.jpeg
 
God Bless the Women
Lucky Dube

In the middle of the night I heard her pray
So bitterly and so softly, yeah
She prayed for her children
She prayed for their education
Then she prayed for the man
That left her with her children
We praise heroes everyday
But there are those that we forget to praise
The women of this world
They don't run from anything
They stand and fight for what's right

Oh oh oh
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected
They don't run from anything
They stand and fight for what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right

Oh oh oh
God bless the women​
 
Mnavowananga mama wa wenzenu humu ninyi kumbe kuna muda mnakumbuka mama zenu lol.

*WANAUME KUNA VITU LAZIMA TUVIELEWE KWA WANAWAKE.*

Bibili inasema *MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU* hapo hapo inasema *TUKAE NAO KWA AKILI.*
Na bado inasema *MWANAMKE NI JESHI KUBWA* swali?
Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba ni mwanajeshi Mungu anamtuma kwa mwanamme amlinde.

Yeremia 31:22 .... *Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani;* *mwanamke atamlinda mwanamume.*

KUMBUKA HILI MWANAUME MWENZANGU.

●Mtu wa kwanza kukutana na SHETANI live ni mwanamke pamoja na kwamba walizungumza mengi na kula tunda kiukweli hatujui mengine waliozungumza mbali na kula tunda.

●MWANAMKE aliumbwa ukiwa usingizini wewe MWANAUME hujui ni kitugani walichozungumza na Mungu kabla ya wewe kuzinduka.

●MWANAMKE ndiye aliyemwelewa Mungu alipoambiwa ana mimba ya Roho Mtakatifu wewe MWANAUME ulitaka kumkimbia badala ya kukabiliana na changamoto hiyo.

●MWANAMKE ndiye mtu wa kwanza kwenda kuhakikisha kama kweli Yesu amefufuka na kusambaza habari.

●MWANAMKE ndiye anayeongoza kwa ushawishi mkubwa mwanaume huna ujanja mfano.
■Eva kwa Adamu
■Delila kwa Samson
■Ester kwa Ahasuero
■Raheli kwa Labani n.k

> *Usimuudhi mke wako ana siri kubwa sana usione kakaa na wewe anakuvumilia pamoja na ukatili wako.*

> *Anaweza akatekeleza walichozungumza na Mungu au anaweza kutekeleza alichozungumza na shetani* oohoo!
 
All men are dogs...

'nough said....
 
Ngoja nimwendee hewani sasa hivi....
Mkuu, hakikisha angalau kila wiki unamsalimia. Hata kujua hali yake tu anavyoendelea. Na usikose kumwambia kuwa unampenda. Jaribu kumtimizia mahitaji yake kwa kadri ya uwezo wako na ukipata muda nenda ukamuone. MPesa/Tigo pesa mara kwa mara. Usisubiri mpaka akuombe....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom