Wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
[emoji3]
noelmtalo_20181201220830.jpeg
 
Wanaume wa mikoani ndoto zetu si kuja Dar mkihisi kuwa kila kitu huku ni safi eee njooni mnyooke
 
Kwahiyo unataka kudanganya watu kuwa hapo sio kwa mganga?
 
Huo ni mtambo wa kutengeneza gesi asilia. Mahindi ya kuchemsha, viazi vitamu na mtindi, hahahaa hiyo harufu ya ushuzi wake ni sumu ya kuulia mbu na viwatilifu vingine
 
Hapo methane itazalishwa kwa kiwango kikubwa na sauti ya kukoroma lazima iwe juu[emoji3]
 
Daah hilo boga [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Hapo ni kwa Bush star, tajiri na mstaarabu sana kijiji chote chaweza hamia kwake nadhani huyu yuko mjini ya kijijini kwa sababu;
Ana Meza ya chakula, bush kwetu tuna kaa chini sisi watoto, na wazee hukaa kwene vigoda

Menu bab kubwa, vikombe vizuri kila mtu na chake, vyakula kila aina. menu ni nzuri, wa bush kwelikweli mnatumia kibuyu kimoja tu kwa wooote! kila mtu anatia domo unampasia wajirani yako. kawaida anaanza baba,

Bush kabisa huli mtindi na viazi, ni matumizi mabaya ya maziwa. kwa sababu viazi ni vitamu unakunywa na maji.

Anajua matumizi ya simu,
 
Back
Top Bottom