Watu mpaka tumesahau kisulisuli

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,156
56,681
2704eb676ff319129d05f38cfc6e0a38.jpg
dah! Mzee mambo ya kibaharia hayaendi huku watu wanakutafuta,Leo tulitarajia kisulisuli kitupeleke mlima wa Moto lkn hili lako ratiba zimebidi zigeuke.. jitokeze mzee mambo si mambo😂😂
 
Huu si uzi wa afweee ni ombi la yeye kujitokeza maana kisulisuli kimefunikwa na hili..

Afweeeeee!

A coward man is scared of his own mortality!

Lotta people die everyday,who is he not to die?

Afweeeeeeeeee kama sisi wengine huku!
 
Wamesahau kama leo ni jumapili
Mkuu maswala ya kibaharia yahusuyo kisulisuli yamekwama,ye ajitokeze tu kwa Leo kesho aendelee na ratiba yake hii hata mwaka mzima lkn kwa Leo dah! Katuweza😂😂
 
*Wapiga madili

*Wapinzani

*Wasomi wanaosubiria ajira zaidi ya miaka mi4

*Waliotumbuliwa

*Vyeti feki

*Wasifiaji wanafki wenye uchu wa madaraka

Bado tu unadhani ataendelea kupendwa na kila Mtu ?

Tumuombee Rais wetu maana vita aliyonayo si ya kitoto hata kidogo.
 
Huko jukwaa la siasa limegubikwa wanamsaka!,sisi wengine tusio wa siasa tunapata tabu za bure tu..
 
Duh! Hili ndo litakuwa li Israel mtoa roho.. mkuu kwanini usipewe cheo Cha huyo Israel maana si kwa chuki hii

Nina chuki na Jiwe!

Sifichi!

Sina sababu ya unafiki!

Afweeeeee

I dont know whats Israel,whatever the fvck that is,akafieeeeee huko!

Thank you!
 
Ha ha mkuu utakufa na kihoro, kisulisuli kimerudi rais magu hivi punde tu atakuwa hadharani

Who cares???

Afweeee apone,I dont care anyways!

Issue ni kwamba kapigwa kitu ya kisasa na ameipata vizuri!

Na jamaa angejaza uzito kidogo ungekuta tunatoa rambirambi by now!

Unashindwa kuelewa,from now on,the effect on him will be real!

Chezea!
 
Ha ha ha! Mkuu we chakufanya ishi tu Wala usimhusishe jamaa na mambo yako.. hatakuhusu!! Hili la kilozi tuwaachie walozi.
 
Ha ha ha! Mkuu we chakufanya ishi tu Wala usimhusishe jamaa na mambo yako.. hatakuhusu!! Hili la kilozi tuwaachie walozi.

Yule Mlozi angekaza kidogo tungekua tunatoa rambirambi sasa hivi!

Ombeni sana jamaa alitikisa kidogo!
 
Back
Top Bottom