Leo nimefanikiwa kufika Tarime Mara

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania

Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza

Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute

Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
 
Isee kumbe ww ndo cute love,.....mtoto mashalaa kweli wakubwa wanafaidi!!
 
Hivi si ni wewe uliyetelekezwa na njemba gest huko daresalama kubali basi nikutwange swali jingine

Halafu hiyo mura mwenye shida na chaja ya pin ndogo utampekea lini
 
Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania

Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza

Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute

Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
Karibu nyamongo nami niko huku zaidi ya mwezi m1
 
Back
Top Bottom