Tafadhali mwenye uelewa na habari picha atusaidie.
Walio wengi tumeshindwa kuielewa huyo mtu anaye pumzika ndani ya kinywa cha lisamaki anafikiria nini?
Mwana katuni maarufu amekuja na kitendawili kipya kwangu binafsi nimetoka kapa kujua nini anamaanisha.
Mwenye ujuzi na habari picha tafadhali atusaidie.
Ni mwaka 1943, Nairobi. Ilikuwa kipindi cha ukoloni, na hapo ni wanafunzi wakifunzwa namna ya kuendesha gari na hayo mawe kichwani ni wasiangalie chini wakati wa kuingiza gia.
Kwa nini isingepita moja kwa moja hiyo barabara hapo kutoka hapo kuliko wekwa alama nyekundu. Lakini wameizungusha kipi kilikuwa kinatafutwa au kukikwepa?
Mimi jibu langu ninalo kichwani nataka...