...umeme ukakatika; ukakomaa kuoga gizani hivyo hivyo ; ile karibia unamalizia kuoga umeme ghafla ukarudi halafu unakutana na kiumbe hichi uso kwa uso.[emoji116][emoji116]
What will you do??.
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Tumaini Magessa akimkanyaga tumboni mkuu wa kituo cha polisi Kibaya, Patrick Kimaro katika mazoezi ya utayari.
Chanzo: Mwananchi
Wikiend ndo imeanza wadau majukumu ni mengi embu leo kidogo tu refresh akili. Mimi nlikuwa ata ukinikurupua domu usiku wa manane nausingizi wangu hii siisahau [emoji23]. Embu tiririka yako ilikuwa ipi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.