MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Wacha aisee apumzike kwa kujirusha.. Kule alipokuwapo walimpa stress za kufa mtu.. Imagine walimuachia timu, akaleta mpaka wachezaji wa mkopo kwa hela na nguvu zake, akawapa anawapa wachezaji mpaka hela za kula, timu ikifungwa analia, lakini bado tu hawakuwa na shukurani, hela zake hawataki kumrudishia, wanataka kumrusha.. Gongowazi iko shida sana..
Ila aliambiwa, alikuwapo Tambwe Lea hapa, aliwapenda gongowazi kuliko hata mkewe, na bado wakamfurusha, lakini Zahera hakutaka kuamini..
Daaaah!! Nimecheka sanaa watu hatutaki kuangalia picha wala kuzoom vzry huyo ni mume wa mboni na sio zahera aliye kuwa kocha wa yanga angalieni vzry hiyoo picha [emoji1787][emoji1787]
Daah!!! We Mkuu. 🤔🤔🤔🤔Wacha aisee apumzike kwa kujirusha.. Kule alipokuwapo walimpa stress za kufa mtu.. Imagine walimuachia timu, akaleta mpaka wachezaji wa mkopo kwa hela na nguvu zake, akawapa anawapa wachezaji mpaka hela za kula, timu ikifungwa analia, lakini bado tu hawakuwa na shukurani, hela zake hawataki kumrudishia, wanataka kumrusha.. Gongowazi iko shida sana..
Ila aliambiwa, alikuwapo Tambwe Lea hapa, aliwapenda gongowazi kuliko hata mkewe, na bado wakamfurusha, lakini Zahera hakutaka kuamini..