Pretty amazing hao jamaa hao. Hivi huo ukanda hauna tsunami na mtetemeko? Maana naona wanachipua mjengo tu tena kuifata bahariAchana na hiyo design unaona hili jengo chini basi hao wahuni walilijenga ndani ya siku 19 (wiki 2 na siku 5) za kazi!.
View attachment 1265390
Na bado jamaa wakaomba kibali wajenge mzigo wa Ghorofa 220 kwa Miezi 3 tu.
Kwenye kitabu "why the west rules now!?" mwandishi anakwambia majengo yaliyochukua miaka 200 kujengwa Ulaya nzima, Mchina kachukua miaka 30 kuyajenga na anaendelea!.
Achana na mchina aseh!.
tena yamewakumba zaidi ya 500 hao jamaa, sema ndio vile tena penye shida maarifa hupatikana!.Pretty amazing hao jamaa hao. Hivi huo ukanda hauna tsunami na mtetemeko? Maana naona wanachipua mjengo tu tena kuifata bahari
Ulaya hawapendi mijengo mirefu m majengo yao ni iconic.Achana na hiyo design unaona hili jengo chini basi hao wahuni walilijenga ndani ya siku 19 (wiki 2 na siku 5) za kazi!.
View attachment 1265390
Na bado jamaa wakaomba kibali wajenge mzigo wa Ghorofa 220 kwa Miezi 3 tu.
Kwenye kitabu "why the west rules now!?" mwandishi anakwambia majengo yaliyochukua miaka 200 kujengwa Ulaya nzima, Mchina kachukua miaka 30 kuyajenga na anaendelea!.
Achana na mchina aseh!.
Mmmh..kama sijakuelewa vile.Gamboshi kuna mighorofa hiyo cha mtoto ila sasa kuiona ndio kaazi
Unapajua gamboshiMmmh..kama sijakuelewa vile.
Wanakosali wakoromijeUnapajua gamboshi
😂😂😂😂Wanakosali wakoromije
majengo marefu hayajengwi kwa pesa za madafu!..Ulaya hawapendi mijengo mirefu m majengo yao ni iconic.