Hali ni mbaya, ona hapa

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
13,286
24,003
Wapare muogopeni Mungu, japo kwa sekunde moja tu.

FB_IMG_1573718904897.jpeg
 
Nilikua naskia tu wapare wabahili.
nina jirani yangu mpare aisee huyo dada tumbo lake mwenyewe kulisha anaona hasara..Ndani ana hela za kutosha lakini amaweza asipike akuombe chakula, au anunue majani ya Kunde achemshe.
Utampa umpavyo yeye akiwa nacho ni mchoyo haina mfano bora kitu akitupe sio akupe wewe
 
hanunui simu anatumia yangu mara 1 moja
akitaka kuomba hela kwa mumewe ya matumizi anaweza kaa njaa kisa hataki kunua vocha anangoja apigiwe
Bwana ake alimwambia anipe betri la Samsung jipya la simu ( Maana alinunua halafu simu ikaibiwa Halafu simu zetu zinafanana na anaitumia mara nyingi tu) Bwana kazunguka mkoani Mpaka karudi akalikuta betri halitumiki imebidi acheke kunipa tu kitu asichotumia na hatakuja kutumia anaona bora kiharibike.
Bwana ake akituma Hela mfano ef50 anatoa ef47550 yani anatoa mpaka ile shilingi ya mwisho hakuachii hata cent1
wapare Mungu awaangazie aisee
 
ahaaa,

Similar Discussions

Back
Top Bottom