DC wa Kiteto, Tumaini Magessa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Kibaya wafanya mazoezi ya ukakamavu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Tumaini Magessa akimkanyaga tumboni mkuu wa kituo cha polisi Kibaya, Patrick Kimaro katika mazoezi ya utayari.

IMG_20191027_101552_108.jpeg


Chanzo: Mwananchi
 
Ningekuwa mimi DC ningesimama hapo kama dakika 5 hivi tuone hiyo pumzi alioibana ili tumbo zikaze ikate tuone kama damu mchanganyiko na maini havijatoke mdomoni
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Tumaini Magessa akimkanyaga tumboni mkuu wa kituo cha polisi Kibaya, Patrick Kimaro katika mazoezi ya utayari.

Chanzo: MwananchiView attachment 1246092
 
Ahaha safi sana
Huyo kamanda Anaweza akawadhibiti wapinzani 1000 kwa wakati mmoja wanaoleta fujo
Badala ya kuwaza usalama wa wananchi wa Kiteto dhidi ya magenge ya wahalifu, ndio maana Raia wanona polisi wapo kwa kazi moja tu kudhititi upinzani. Hapo ghafla Tyre ya Lorry ipige burst ya nguvu lazima wataftane kwa kihoro.
 
Back
Top Bottom