Gado: JPM anapowaziba midomo wanahabari, wasimamizi wakiwajazia wapiga kura fomu, huku wapinzani wamefungwa kwenye viloba na ulinzi mkali

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
IMG-20191120-WA0018.jpg



Hii picha inatoa mwelekeo wa uchaguzi wa mwakani
 
Hayo ni mashindano ya mbio, wapinzani wanakimbia kwenye magunia, wakati JPM anakimbia bila gunia...
 
Hapo wale "Guide Runners" ambao wanahakikisha anamaliza mbio kwa kuvunja record watakuwa mbele kusafisha njia.
 
Back
Top Bottom