Tujikumbushe kidogo tulipotoka

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Wikiend ndo imeanza wadau majukumu ni mengi embu leo kidogo tu refresh akili. Mimi nlikuwa ata ukinikurupua domu usiku wa manane nausingizi wangu hii siisahau . Embu tiririka yako ilikuwa ipi
IMG_20191108_170702_167.JPG
 
Geography ndo ilikuwa best definition kwangu, wakati huo nakumbuka nilikuwa nashindwa kwenda kuchukua pocket money yangu, kisa office ya mhasibu iliandikwa no English no service
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom