Ya kale hayanuki: Mzigo bado upo kazini 12/11/2019

Ya kale hayanuki: Mzigo bado upo kazini 12/11/2019

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,317
Reaction score
12,822
Hilo bus limekuwa sokoni tangu miaka ya 1987 na bado linadunda.

City Bus hilo lipo Matembele ya Pili, Dar es Salaam.
20191112_095049.jpeg
20191112_095219.jpeg
20191112_095216.jpeg
 
Eti na lenyewe lina usajili wa namba A [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa bahati si kivuko injini ikizima mnashuka mnapanda chombo kingine.
 
Huku kijijini kwetu yapo mawili yanapiga kazi acha kabisa...
 
Matembele Ya Pili Kivule Huko
Hiyo Barabara Ni Dume Inahitajika Bus Chuma
Yaani Ukitoka Hapo Relini, Lukolo, Kwa Mpemba, Mpaka Ufike Fremu Kumi, Kwa Wamakonde Shida Sana
 
Mkuu naona maeneo yako ya kujidai haya
Matembele Ya Pili Kivule Huko
Hiyo Barabara Ni Dume Inahitajika Bus Chuma
Yaani Ukitoka Hapo Relini, Lukolo, Kwa Mpemba, Mpaka Ufike Fremu Kumi, Kwa Wamakonde Shida Sana
 
Kama ile migari ya railway enzi hizo...
 
Back
Top Bottom