Nimemkumbuka John Samwel Machela

Konkmaster

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
360
291
IMG_3851.JPG

Tunda lililo ivia mtini Salam kwako kiongozi.
 
Umemaanisha nini Konkimaster?

Katika kampeni ya kuchukua na kurejesha fomu ya Mh John Malechela kuuwania Uraisi wa nchi yetu Mh alisema, Yeye ni tunda lililoivia mtini hivyo huchumwa na kutumia na sio mpaka ukalivundike na ku kufanya usibiri kutumia akimaanisha yeye ni ready made leader. Na sio katapila linalochonga barabara na baadae kuzuiwa kupita barabarani. Nimemkubuka kiongozi
 
Back
Top Bottom