ShInyanga land katika shughuli zake za kila siku

ShInyanga land katika shughuli zake za kila siku

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Nyie endeleen kuishi maisha ya kuingiza mtadaoni leo shy land huyu hapa
IMG_20191105_115113_2.jpeg
IMG_20191105_114941_1.jpeg
 
Nime zoom hadi nikabahatika kuhesabu idadi ya hao ng'ombe machungani wapo 34.
Sasa swali langu ni hili, hao ng'ombe ni mali yako??
 
Nime zoom hadi nikabahatika kuhesabu idadi ya hao ng'ombe machungani wapo 34.
Sasa swali langu ni hili, hao ng'ombe ni mali yako??
Umesahau huyu mtu mara hii, miaka miwili iliyopita alikuwa anashindana sana na wasomi huku, alisema yeye ni darasa la saba,
Watu na masters zao humu walichoka.
We subir utaona majibu yake
 
Back
Top Bottom