Wakuu,
Nimerudi kutoka Afrika baada ya vekeshen ya miezi miwili na kwa kweli ilikua bomba kishenzi. Nitajaribu kutundika mipicha kadhaa niliopiga ili nanyi mufurahishe macho. kwanza kabisa tuanze...
Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na...
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda...