Hili kweli ni JWTZ au jeshi la Mzee........................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili kweli ni JWTZ au jeshi la Mzee...........................

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 26, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na kipigo hicho. (Picha na Fadhili Akida)
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hmm! balaa
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Aiseee si mchezo! Poleni mliopigwa!
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  this is an ageing problem-kila siku haya matukio yanajirudia lakina serikali inayakalia kimya-sijui kwa nini-
  hivi hawaoni majeshi ya nchi nyingine yanavyofanya ushirikiano mzuri na wananchi wake-
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa stahili hii tusishangae kusikia mtu kawekewa sumu kwenye kinywaji chake..
  Si wanajua sana kupiga watu na wakati huo huo wanajichanganya uraiani kunywa pombe Bana?:spider:
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Rutashubanyuma umeliita jeshi la ulinzi wa wananchi??? hahaaaa! jina lake linachekesha.
  Lina walinda wananchi gani dhidi ya nani.

  Hili ni jeshi la wenye nchi sio wananchi.
   
 7. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nini sababu ya kupigwa raia hao?
   
 8. g

  geophysics JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani hii imetokea lini tena....? Ama kweli twafa sasa...Hawa wanajeshi waelekea kuwa maadui wa watu.... Libya... risasi mtindo mmoja.. Bongo mabomu...na kipigo tena? Inanitisha
   
 9. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli wazee wetu waliona mbali ndo mana wakasema, "Uishangaa ya LIBYA utayaona ya-TZ"

   
 10. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  KIsa nini?
   
 11. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Hawawezi kupigwa pasipo sababu....
   
 12. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,658
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hawa si ndiyo walewale mtu akisakiziwa mwizi tu, watamfukuza wampige mawe, tofali, ngumi bila huruma hadi wamuue, lakini wakija wanajeshi wawili wasio na silaha wanakubali kubondwa bila sababu hadi ngeu na manundu yanawatanda. Halafu kesho yake haoo utawaona kwenye vyombo vya habari wakilalamika. Pambaaf kabisa!
   
 13. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Aisee, Nimecheka sana jinsi ulivyowaelezea hawa jamaa. Halafu naangalia sura zao naona kabisa walishawahi kubonda na kuua vibaka, ila kwa wajeshi wakanywea, lol.
   
 14. I

  Idofi JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,548
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  wanalala bure, wanavaa bure, wanakunywa beer kwa buku, wanakula bure wanakunya bure, hawanakazi yoyote wanaofanya, tz ilitakiwa iwe na askari 2500 tu wanatosha sana
   
 15. R

  RIJO Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikujitoa muanga tu tutateswa mpaka lini wazeeeeee!! we have to say its enough alafu tunaenda front.
   
 16. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Walimwibia mjeshi alikuwa amevaa kiraiya laki 2!!!
   
 17. K

  Kamarada Senior Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kiongozi nimeipenda sana hii Comment yako, ww unafaa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi lennye Strength ya hiyo figure. Nitakupa kura yangu nikipata majibu ya IQ yako. :A S-confused1:
   
 18. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Walipigiwa nini?
   
 19. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nazani nidhamu jeshini imeshuka
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Walimwibia akiwa wapi?
   
Loading...