Uchakachuaji hata mbele ya rais na hushtukiwi

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,033
190452_10150118101097472_823957471_6450892_1582112_n.jpg
Umegundua nini kwenye picha hii?
 
maandishi yanasomeka us dollars TWO HUNDRED THOUSAND tarakimu zinasomeka USD 300,000 na mzee katia dole kubariki hiyo fund, kazi ipo
 
hii ilitokea siku nyingi sana. na kuna watu waliwajibishwa kwa makosa hayo
 
nimegundua kumbe kingereza kigumu.......ndio maana matatizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa ndani ya "siku tisa jamani."......nyerere alikaa miaka 23, hayajaisha, mwinyi na mkapa miaka 10 10 nayo hayajaisha......na mimi pia nitamaliza miaka 10 hayataisha.....and zis iz tu handred sauzand 300,000.
 
Hivi ina maana hakuona au ndo anadhihirisha ukilaza wake????:A S 13:

Jamani,

Hakuna cha kushangaa, hata kama ilitokea siku ya kwanza miaka 6 iliyopita alipoingia ikulu kwa mara ya kwanza.

Suala la Msingi huyu Kikwete ni Kilaza, yeye anafanyiwa kila kitu, yeye huenda kama boya tu hajui nini kinafuata, ndio maana sio ajabu akakusomea hotuba leo akaanza na kusema:-

Leo tarehe 12 mwezi wa 3 mwaka huu wa 2010, mimi...........

(as long as imeandikwa, na kwa kuwa yeye hajapitia, utamsikia anaisoma tu, hata macho yake hayashituki)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom