Hii imekaeje wadau? kukunja mguu wakati wa maongezi...

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
03_11_c6qp5w.jpg
 
Kuonyesha unajiamini na huna hofu na mazingira au mahali ulipo au mjadala unaoendelea! No problem!
 
Ni ustaarabu fulani.... ni moja ya professional seat style ambayo wanaopenda kuchezea miguu wakati wamekaa wanashuriwa waitumie. Kwenye picha sioni kama kuna ubaya wowote
 
Hapa sasa umekosa hoja hiyo ni kawaida tu hata wewe natumai ulishakaa sebuleni ukaongea ukiwa umekunja miguu!
 
Mi nikikaaa hvi dakika1 nyingi manake miguu itaniuma balaa
Ukiwa bonge huo mkao huwezi kaa! Naamini Tricker kama sio bonge basi huna mazoezi kabisa ndio maana unapata shida kukaa mkao kwa muda kidogo. Ni mkao mzuri sana kwa sababu unakuwa free na unaonekana unajiamni na sio kutanua miguu tu muda wote.
 
Back
Top Bottom