The Rock City!!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
I love this city!!!
 
Attachments

  • 100_3335.jpg
    100_3335.jpg
    522.8 KB · Views: 124
  • 100_3388.jpg
    100_3388.jpg
    425.3 KB · Views: 50
  • 100_3338.jpg
    100_3338.jpg
    435.1 KB · Views: 55
  • 100_3387.jpg
    100_3387.jpg
    579.1 KB · Views: 76
  • 100_3368.jpg
    100_3368.jpg
    624 KB · Views: 54
  • 100_3334.jpg
    100_3334.jpg
    434.4 KB · Views: 53
  • 100_3333.jpg
    100_3333.jpg
    797.3 KB · Views: 59
  • 100_3337.jpg
    100_3337.jpg
    620.2 KB · Views: 64
  • 100_3332.jpg
    100_3332.jpg
    693.3 KB · Views: 64
  • 100_3318.jpg
    100_3318.jpg
    723.7 KB · Views: 73
  • 100_3319.jpg
    100_3319.jpg
    411.9 KB · Views: 75
  • 100_3336.jpg
    100_3336.jpg
    553.9 KB · Views: 87
  • 100_3369.jpg
    100_3369.jpg
    769.9 KB · Views: 95
  • 100_3343.jpg
    100_3343.jpg
    881.5 KB · Views: 120
leo nilikuwa pale kwenye samaki but siku zingine hata samaki hatoi maji caz hawakulipa bili.. nmeenda tena mpaka bismarck mpaka capirpoint mpaka kule capirpoint water plant na nadhani nmeshamaliza though ni mara yangu ya kwanza kuja mwanza to college...:wink2:
 
Hujamaliza take ur time and explore the city..u will enjoy...
 
leo nilikuwa pale kwenye samaki but siku zingine hata samaki hatoi maji caz hawakulipa bili.. nmeenda tena mpaka bismarck mpaka capirpoint mpaka kule capirpoint water plant na nadhani nmeshamaliza though ni mara yangu ya kwanza kuja mwanza to college...:wink2:

Mkuu yani hapo ndo unaona umeimaliza Mwanza? Hujaenda Bujora Museum,Sanane Island,Villa Park,Malaika Beach,Kirumba Stadium,Mwaloni,Viwanja vya Furahisha....mazee the Rock City ni nouma!
 
Bwiru kuna view nzuri sana mnara wa mv bukoba, pia saa nane ukiwa mwisho kabisa ya kisiwa kuna view moja nzuri sana ila ni mbali utavuka mto utapanda milima then unatokea kwenye hyo sehemu. Pia kuna Tunza beach duh ni pazuri sana huwa sikosi w.end labda nisiwepo mza.
 
halafu bado hujatembelea kule kusiko kukua na umeme kwa sababu watawala wetu hawataki tuwe na umeme ili tuwe na elimu ya kutetea madini na samaki wetu, barabara nzuri na uwanja wa ndege. bila kusahau reli/station
 
Mkuu yani hapo ndo unaona umeimaliza Mwanza? Hujaenda Bujora Museum,Sanane Island,Villa Park,Malaika Beach,Kirumba Stadium,Mwaloni,Viwanja vya Furahisha....mazee the Rock City ni nouma!

but kidogo kidogo mheshimiwa na muda siyo mrefu nitakuwa tayari nmeshamaliza.. ntakuwa na checklist so when I visit those places you mention am gonna clear the checklist so I neva forget and am gonna show you that I`ve been there already ndugu yangu..
 
Kwa sasa Mwanza inavutia si mchezo, na usafi unazingatiwa ila wapiga finga aka wezi wa mifukoni wapo hasa maeneo ya daraja la wakoma
 
Inaonekana ni pazuri sana, nimepapenda japo sijawai kufika ila nikipata mwaliko nitaenda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom