Kazi yao ni kusinzia tu mikutanoni.....Shame on the

Huyu mkwere na mgeleja wamefuata nini katika mkutano wa wataalamu km huo?

Wamefuata kutafuna tetere?
 
Huenda anatafakari namna ya kuondoa shida ya umeme nchini.
Sasa kama amelala kulikuwa na umuhimu gani wa kupoteza kodi zetu kwenda Paris. Hawa watu nchi imewashinda
 
Hata akiletewa mkataba hapo Ngeleja anasaini huku akiwa na mausingizi singizi hivyo hivyo, ni aibu kweli, ona wazungu wao walivyo macho na sura za umakini mkubwa. Nimechukia kweli hili lipicha wanavyofanya huko
 
Back
Top Bottom