HAPA TUJARIBU KUWEKA PICHA ZA RAIS WETU NA MARAIS MBALI MBALI ALIONANA NAO.
NNATARAJI ATAKUWA NI RAIS WA KWANZA TANZANIA KUKUTANA NA MARAIS WENGI DUNIANI
HAPA AKIKUTANA NA RAIS WA usA
HAPA...
Huyu m-dada ni mojawapo wa kuwa mifano ya kuigwa!!Wanawake wengi hawapendi kufanya mazoezi hata kujinyoosha kwao ni tabu!Unaweza kujiweka freshi hata ukiwa chumbani mwako.Nadhani ndio maana ana...
Wakuu,
Nimerudi kutoka Afrika baada ya vekeshen ya miezi miwili na kwa kweli ilikua bomba kishenzi. Nitajaribu kutundika mipicha kadhaa niliopiga ili nanyi mufurahishe macho. kwanza kabisa tuanze...
Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na...
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.