Nimerudi kutoka vekeshen wakuu....

Nimerudi kutoka vekeshen wakuu....

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
Wakuu,

Nimerudi kutoka Afrika baada ya vekeshen ya miezi miwili na kwa kweli ilikua bomba kishenzi. Nitajaribu kutundika mipicha kadhaa niliopiga ili nanyi mufurahishe macho. kwanza kabisa tuanze na hii:

The View from my hotel room in the morning!

5484196188_059e9a35ec_z.jpg

5484201174_21466dec90_z.jpg

Mambo ya biriani siku ya krismasi.....

5483560647_2343f36053_z.jpg

5483596165_eac31080b7_z.jpg

Mambo ya Tusker na kuku kwa mrija huku ukitia kachumbari!!!....

Before.....

5484206720_35ae180d2d_z.jpg

After....

5484212412_71982870e3_z.jpg

Hii redio iliniacha hoi kule uswahilini...watu bado wanasikiliza tepu aisee!!!

5483655805_a6bdbdd811_z.jpg

Wifi yenu alishangaa kumuona housegeli wa bro anapiga dobi kwa mkono. Aliniuliza "There is no washer and dryer?"...ikabidi nimkumbushe tuko wapi!...LOLz.

5483857783_5f11845d70_z.jpg

Wifi yenu alishangaa kumuona housegeli wa bro anapiga dobi kwa mkono. Aliniuliza "There is no washer and dryer?"...ikabidi nimkumbushe tuko wapi!...LOLz.

Haha... mambo ya culture shock hayo kama wengi wanavyo convert
kwa madafu kabla ya ku-make decision ya kununua double quarter
pounder mara wanapo touchdown unyamwezini kwa mara ya kwanza.
 
Mkuu welcome back. Simchezo tulimiss sana michango yako sana sana kwenye jukwaa la michezo.Naona ulichukua vacation wakati muafaka (chelsea ilikuwa mahututi)lol.

Safi sana mkuu kuona uli-enjoy vacation yako na umerudi kwa kishindo. Karibu tuendeleza upinzani.
 
Mkuu,

Asante sana kwa kunikaribisha humu jamvini.

Kwa taarifa yako sikuepuka kelele za mashabiki wenu maana kakangu ana-mdomo kama Wacha1 na kila tukichapwa
alimake sure ametumia msg au amepiga simu...LOL!

Nimekaribia kwa kishindo na jana tumewesha ligi iwe wide open...sasa kazi kwenu!
 
Back
Top Bottom