Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Haupo nyumbani na ufahamu nini mke wako anafanya njee na marafiki zake. Au kama unaogopa mazoea ya mke wako akisalimiana na jirani yako ambaye handsome kuliko wewe. Au unaogopa record mbaya ya mke...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete akikagua akiba ya chakula katika ghala la Taifa linalohifadhi akiba ya chakula lililopo Chang’ombe mjini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefurahi sana kumuona dogo hapo mbele akiendeleza mapambano japo yalikuwa ya kupigania kikombe huko Mbeya, lakini pozi lake duh, hadi raha. Wadau CDM wako rika zote...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
People, governments, companies, and organizations observed Earth Hour 2011 as 134 countries switched off lights worldwide Saturday, March 26, at 8:30 p.m. The movement to raise awareness about...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:TrackMoves/> <w:TrackFormatting/> <w:PunctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/>...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwauliza maswali ya masomo ya Fizikia na Kemia wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Edward Lowassa Wilayani Monduli, alipokuwa kwenye ziara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Si lazima kutumia zaidi ya 20,000/= ya usafiri wa maharusi. Si lazima kutumia zaidi ya 1 million kwa bajeti ya harusi. Si lazima.
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Picha ni ukumbusho!!sasa hapa ni ukumbusho wa nani? Hivi ni lazima upige picha namna hii!Toa maoni
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kipindi hiki nilikuwa sijui bei ya sukari, nauli au mafuta kama imepanda ilikuwa ni fulll shangwe! natamani maisha haya yarudi, so natural sasa hivi u-feck mwingi a.k.a uchina au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa huyu sijui vipi........
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Jamani mimi nikiangalia tu hizi picha, jamaa ananyanyuka huyo mpaka nakaribia kufunga goli. Hivi na nyinyi wanaume wenzangu huwa mnajisikiaga hivyo ? Au mimi network zangu zinakamata mawimbi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hiki kitu nimekikubali. Ongera pia kwa anachokitunza. Mimi hoi kabisa Katiba mpya naomba sheria za ndoa za mikataba iwepo ili tuwe na uwezo wa kuachiana...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Kwanini tusiwe tunatumia tu kiswahili kwani kuna dhambi??? Beast = Best ????????
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,Dr. Emmanuel Nchimbi akikabidhi tuzo ya heshima kwa Shirika la Utangazaji la Habari Tanzania (TBC) kwa Joe Lugalabamu. Mwanamitindo Khadija...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Kuna watu huwa wanapinga kila kitu,nataka niwaone watakao kosoa uumbaji huu wa muumba.Kwa mambo binafsi ya ndani hatujui ila kwa uzuri wa nje,sura nzuri,muonekano bomba, urembo halisia,kiuno cha...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Dhati izi veri embarassing. Mcheki jamaa aliyekaa hapo kushoto.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukiachilia mbali hali ya hewa nzuri na usafi wa mji mimi sijui kwanini DSM ilikua sana kulinganisha na MZ. DSM kuna joto la kufa mtu kwanza, ukame, hakuna chakula cha kutosha nk. DSM kuna kila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mrembo chup* na suruali chepechepe!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom