Dogo kumbe na ww mau wa CDM???

Dogo kumbe na ww mau wa CDM???

boss80

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
45
Reaction score
7
DSC02847.JPG Nimefurahi sana kumuona dogo hapo mbele akiendeleza mapambano japo yalikuwa ya kupigania kikombe huko Mbeya, lakini pozi lake duh, hadi raha. Wadau CDM wako rika zote kumbe.Pipoooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! ALUTA CONT......
 
Hahaha safi sana. Picha kama hizi should bring fear to the fisadis because their kids will never be safe with while these are hungry.
A hungry man is an angry man!
 
Back
Top Bottom