Jk ahakikishiwa hakuna njaa.............

Jk ahakikishiwa hakuna njaa.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
03_11_1w6yfs.jpg
Rais Jakaya Kikwete akikagua akiba ya chakula katika ghala la Taifa linalohifadhi akiba ya chakula lililopo Chang’ombe mjini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula, Charles Walwa, na watatu kulia ni Waziri wa kilimo Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Freddy Maro).
 
Siku zote vilaza ndo waliwao ina maana jk anashindwa kutofautisha kupanda kwa bei za vyakula na njaa?
 
****** anaonekana kufurahi kweli anavyoona magunia ambayo wala hajui ndani kuna nini i.e inawezekana kuna pumba,mawe,mchanga nk
 
Back
Top Bottom