Tangazo tangazo kwa wanaume & wanawake walio katika ndoa!!!!......muhimu sana!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo tangazo kwa wanaume & wanawake walio katika ndoa!!!!......muhimu sana!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by kwamtoro, Mar 27, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Haupo nyumbani na ufahamu nini mke wako anafanya njee na marafiki zake. Au kama unaogopa mazoea ya mke wako akisalimiana na jirani yako ambaye handsome kuliko wewe. Au unaogopa record mbaya ya mke wako kabla ujamuoa, lakini ulimuoa hivyo hivyo.

  SASA USIWE NA WASIWASI!!

  Habari njema ni kwamba, namfahamu mfanya kazi wa kampuni moja inayo tengeneza kifaha kizuri kwa gharama nafuu. Ndugu zangu, kama unapenda kukipata kifaa hicho nitumie ujumbe kupitia JamiiFororus Message na tutaongea biashara
  Na kwa wanawake, kama unaitaji kupata funguo ya siri, nitafute pia.

  Angalia picha uone sample ya kifaa hicho

  am32.jpg
   
 2. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45


  Naitaji 200 nipeleke kugemua Lindi. Nitakucheck
   
 3. z

  zayat JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unyama kama anataka kwenda haja?kisima hakichungwe
   
 4. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dah kazi kweli kweli...isije kuwa kama yule jamaa alimfunga mke wake hicho kifaa kwa sababu alikuwa anakwenda safari ya mbali na hakujua hatima ya safari na huko aendako. basi akampa rafiki yake wa karibu sana ufunguo kwa sharti moja kwamba kama hatarudi kwa miaka kadhaa basi afungue lile kofuli mama awe huru..bila kujua ulikuwa mtego..maana alipewa ufunguo ambao sio wenyewe kufungulia lile kofuli..basi jamaa akampa akaondoka..hakufika mbali jamaa anashtushwa na kishindo cha mbio za yule jamaa alipewa funguo akimweleza ufunguo mbona haufungui lile kofuli....jamaa akamwambia mbona nimekuambia utafungua baada ya miaka kadhaa nisiporudi?...kumbe jamaa alivyompa tuu mgongo na kuondoka jamaa alitaka kufungua achakachukue maana yeye ndo alikabidhiwa mamlaka...hivyo urafiki ulikuwa wa mashaka na pia subira kwa jamaa ilikuwa sifuri..
   
 5. P

  Pomole JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa inabidi ufanye implementation ki-software na sio ki-hardware and take appropriate channel_action.
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ushalala mlango wazi!
   
 7. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwizi anacheleweshwa tu kuiba ila hazuiliwi. akiamua anaiba tu!!!!!! Tena ukifunga ndo umehalalisha wizi. Bora uache wazi ajichunge mwenyewe.
   
Loading...