Enzi zetu

Enzi zetu

MFILIPINO

Senior Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
157
Reaction score
11
wimbooo[1].jpg Kipindi hiki nilikuwa sijui bei ya sukari, nauli au mafuta kama imepanda ilikuwa ni fulll shangwe! natamani maisha haya yarudi, so natural sasa hivi u-feck mwingi a.k.a uchina au uchakachuaji
 
ni kweli enzi hizo hamkujua kama kuna foleni ya ubungo wala mabomu ya 1971!...mi nlikuwa cjazaliwa bado nafahamu tu niliikuta sh.200 ya karatasi ............😛anda:
 
ni kweli enzi hizo hamkujua kama kuna foleni ya ubungo wala mabomu ya 1971!...mi nlikuwa cjazaliwa bado nafahamu tu niliikuta sh.200 ya karatasi ............😛anda:

Loh, kumbe mtoto sana wewe.... Inaelekea hata 20,50 na JITI la noti hukuzikuta wewe...
 
mbona chupi za madogo si za enzi hizo???? angalau tungeona VIP
 
Ndo'mjue yakuwa "kiduku" kilianza kitambo, chek flesh huyo dogo wa kati, alafu wimbo unaochezwa ni Prakata Tumba...! Nimependezwa na ki2 kimoja wote nawa afya njema japo dhiki ina2andama.
 
Back
Top Bottom