Huyu mtoto bwana, astafulahii kaubwa. Kishuzi tu, mimi hoi bini taabani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mtoto bwana, astafulahii kaubwa. Kishuzi tu, mimi hoi bini taabani

Discussion in 'Jamii Photos' started by kwamtoro, Mar 28, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hiki kitu nimekikubali. Ongera pia kwa anachokitunza. Mimi hoi kabisa

  Katiba mpya naomba sheria za ndoa za mikataba iwepo ili tuwe na uwezo wa kuachiana majukumu.
  33.jpg
   
 2. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,537
  Likes Received: 1,531
  Trophy Points: 280
  hodiii! JF,
   
 3. f

  fidodido Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  acha tamaa za mbuzi, utashangaa viishuzi mpaka lini? kila siku vinazaliwa, yang'ongoe machom yako, ili usipate tamaa tena
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ......tamaa mbaya saaaana. mke wa Mtu huyo jamaani. eeeh
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Muacheni kwamtoro wa watu ashangae banaa!huoni hata bwana harusi bado hajamaliza kushangaa uumbaji huo?mijimacho kodooo!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Ama kweli aliesema "beauty is in the eye of the beholder" hajakosea. Sijui nini ulichokiona hapo kikakukuna, Nywele za maiti. Nido ime-babataa, kishuzi mabujebuje wala si cha maana, meno ndio hivyo tena, yana ukungu. Ajabu!
   
 7. Sis wa ukweli

  Sis wa ukweli Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 8. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kwamtoro I dedicate to u da song tamaa mbaya from ma men 20 Pacceee paccee nttttt!!!!!!!!. Do you hear me Man.
   
 9. P

  Pomole JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo kuna ushuzi gani hapo,mbona hakuna kitu hapo.kweli kuna watu kama nzi,yaani wanapenda vidonda....!!!!
   
 10. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mmmh... sidhani kama nina cha ku-comment hapo...
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  BESTA umependeza sana all the best kwa maisha ya ndoa.....
  unayesema huyu ni shamim umekosea ni mtu tofauti
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Si vizuri hivyo ni mke wa mtu sasa, ingawa umesema kweli. Hongera Marlow.
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  kha! Hana kishuzi chöchöte. Kweli nimeamini Tv ni 1 macho kila mtu na yake
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mnavyomjadili huyu mdada wa watu, inawahusu? Kwani kawaombeni mseme yeye ni mzuri au la?

  Ina maana nyie mko perfect? Wapondaji wakuu utakuta MHHHHH....simalizii
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwamtoro, tafadhari edit hiyo taito for humane sake
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Imeandikwa, Usitaman mke wa jirani yako
   
 17. J

  Just i am Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhh shamim gani huyo jamani??? we nawe ndo wataka kujifanya wamjua sana shamim
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni kweli nilikosea wamefanana kwa mbali na niliangalia kwa haraka.
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Samahani wakuu nilikosea na nimeifuta post.
   
Loading...