Kwa wanaume tu

Kwa wanaume tu

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Jamani mimi nikiangalia tu hizi picha, jamaa ananyanyuka huyo mpaka nakaribia kufunga goli. Hivi na nyinyi wanaume wenzangu huwa mnajisikiaga hivyo ? Au mimi network zangu zinakamata mawimbi kupita kiasi !?
 

Attachments

  • SAA SITA MCHANA.jpg
    SAA SITA MCHANA.jpg
    53.8 KB · Views: 447
  • SAA SITA MCHANA-2.jpg
    SAA SITA MCHANA-2.jpg
    17.8 KB · Views: 414
  • SAA SITA MCHANA-3.jpg
    SAA SITA MCHANA-3.jpg
    36 KB · Views: 534
Wewe ndo dungadunga wa kwenye matatuu nini?.
 
Hao wawili waliokaa nadhan ni mapacha.... wanafanana kila kitu
 
Sasa kinachomnyanyua huyo jamaa ni kitu gani mbona mimi sikioni au ni hiyo sheratoni ya mtoto ndio inakupagawisha.Binafsi kama mtu sijampenda hata anijie jinsi alivyozaliwa wala sishtuki,wakati mwingine tunavyowasifia uongo namna hii hawa wapinzani wetu ndio nao wanakazana kutembea nusu uchi au uchi kabisa kama unavyowaona hawa wapuuzi katika picha ya kwanza.
 
Kakananii,

Chunga sana fikra zako za masuala ya ngono, aidha umri wako una kuruhusu, yaani upo katika u"teen" na hujazidi miaka 25. Au unaathari za kisaikolojia zinazoweza kukuingiza katika moja ya haya matatu:

1) Mfadhaiko.
2) "Premature ejaculation".
3) "sex maniac".

Huu ni ushauri wa bure.
 
jamaa unaumwa aisee..........nenda fasta kwa babu kabla hajafa!!:ballchain:
 
Mwone mganga mapema maana hali yako itakupelekea kuwa MBAKAJI
 
picha ya kwanza hiyo beach ya wapi sehemu gani ya dunia
 
duh!!we mgonjwaaa asee...itabidiii watoto wetu wakikee wawee wanaogeshwaa bafuni sio njee tenaa,kamaa kuna minjembaa kamaa hii kitaani kwakooo
 
Back
Top Bottom