Si lazima, Si lazima kufanya kuwa ya gharama, unaweza punguza bajeti yako ikwa kama hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si lazima, Si lazima kufanya kuwa ya gharama, unaweza punguza bajeti yako ikwa kama hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by kwamtoro, Mar 27, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Si lazima kutumia zaidi ya 20,000/= ya usafiri wa maharusi. Si lazima kutumia zaidi ya 1 million kwa bajeti ya harusi. Si lazima.


  [​IMG]


  wedding.jpg
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa,mwisho wa siku watu huuliza yule ni mke wa fulani au mme wa fulani,hawaulizi gharama ya harusi yao ilikuaje au harusi ilikuaje!
   
 3. C

  Chamkoroma Senior Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli safari ya ndoa ni ndefu sn, nakumbuka harusi yangu ilifanyika kwa mkono wa Mungu, nakumbuka jinsi ambavyo ndugu zangu wakaribu hawakuwa na mimi, kanisa likachukua jukumu lakunisaidia na kazini kwangu wakanisaidia kiasi chao, mchango uliopatikana ilikuwa sh.elf 60, wakati ule soda sh.150, wandugu, soda hazikutosha, watu wa 3 walikunywa soda moja kwa kupeana bora mtu apate, japo funda nakusema kanywa soda,harusi illikuwa nzuri na kanisa likageuzwa na kuwa ukumbi, na mahali penyewe ni kariakoo, lkn tukamaliza salama leo hii tuna mtt yuko form 3, khy hakuna sababu yakuandaa gharama kubwa kwa harusi wakati unajua wazi kuwa baada ya masaa utamaliza hela zote, uanze kufikiria madeni.
  bajaji na upendo mwingi ukijua baada ya kufanya hayo, anewasubiri siku zote ni kitanda kizuri ni vema ukaanda malazi bora zaidi kuliko kulipa hela nyingi kwa kusafiria muda mdogo na gari si yako!
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu afadhali yako ilitumia gharama kidogo,kuna jamaa yangu yeye alipomaliza kukabidhiwa mke zikanunuliwa sahani tano za ubwawa toka kwa mama lishe na kila sahani iliuwa shilingi hamsini kwa hiyo kufanya bajeti ya harusi kuwa shilingi mia mbili hamsini,na tunavyoongea hivi sasa wanakaribia mwaka wa ishirini wa ndoa na mapenzi motomoto na mungu amewajaalia wana biashara zisizoelezeka.
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mie nilivaa tu SUTI na nikaenda kufunga ndoa....

  Tumerudi nyumbani nikavua Suti yangu, nikaagiza Pizza tukala na kila mtu akawasha Laptop yake.

  Mie kuanza tu, nikafungua JAMIIFORUMS.....................

  Harusi ya Bajaji nimeipenda. Hongera Maharusi na wote wanaofanya Harusi kulingana na Mkono unapofikia kujikuna.

  Ole wao wanaofanya Harusi za kutisha. Ndoa zao huwa zinadumu kama zile za Hollywood.

  Tumefanya makosa sana kuuwa Mila zetu sisi Waafrica/Watanzania na kuiga za Wazungu ambazo hata hatujui kwa nini walikuwa wanafanya hivyo au kwa nini wanafanya hivyo.

  Hivi Maana ya Champagne na Keki sijui kwenye Harusi tunajua maana yake au tunadandia tu train kwa mbele.........

  Harusi ya KUFANA mjini TABORA ilikuwa ya jamaa mmoja asiye na pesa. Siku ya Harusi kambeba Mchumba wake kwenye Baiskeli hadi kanisani, na kurudi kumbe umati wa watu wameambizana kuja kuona KIOJA. Ile wanatoka tu, umati wa watu ukaanza kuwashangilia. Ilikuwa kama UTANI vile na mwisho umati ukawa MKUBWA SANA. Ikaja gari NZURI na kuamua kuwachukua kwa Makelele ya Honi ya GARI na kila vikolombwezo. Mwisho wa SIKU, kila mtu alikuwa akisimulia tu hiyo HARUSI.

  Sintashangaa hawa watu hadi leo wanaishi PAMOJA. Mapenzi yao yalikuwa ya kweli na hawakuhitaji kujionyesha jinsi walivyo matajiri na High life. Walipendana kweli kwa kidogo walicho nacho......... Lionel Richie aliimba:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Dunia hii kila mtu ni TAJIRI.

  Kama huamini kuwa una FEDHA kibao na Dhahabu kila Mwanzo na mwisho wa siku, hebu sikiliza hapa:  Original: YouTube - Country Boy Don william
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Niiiiiiiiiiiiiiiiiice. I love that.
   
 8. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  tht's good...
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nguo ya bibi harusi bado inaonyesha ukiritimba huo huo wa 'excess'...angevaaa kitenge au nguo ya kawaida ingereflect budget yake kiuhalisia....hapa tumepigwa changa la macho tu....mnh
   
 10. z

  zayat JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kupunguza bajet same thing different kwa nini kilamtu atumie car
  to look different unawesa kutumia gari ya punda
   
 11. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Huu ni usanii gauni lenyewe laonyesha ni ghali!pia ukichunguza kwa umakini kuna gari kwa mbali limepambwa kama hiyo bajaj tayari kumchukua huyo bibi harusi na si gari la kawaida kama sio BMW ama AUDi ni maigizo tu kuleta mbwembwe kwenye harusi!
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Halafu utakuta hizo harusi za gharama watu wanachangisha wenzao pesa za sherehe. Kama huna unachangisha nini? Kwani mume au mke huwa anachangiwa na wachangiaji wote baada ya harusi?
   
 13. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  umeona eeh!!!...halafu angalien vizuri kuna nissan murrano imepambwa iko kwa mbali..na magari mengine tuu kama ipsum..halaf bi harusi mrembo!!
   
 14. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
   
 15. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani hii mada imenigusa sana kuna mdogo wangu aliolewa harusi ya kifahari sana harusi iligharimu karibia 15m yaani siwafichi waliishi miezi 3 tu sijui what happened wanajua wao hizi harusi za kifahari shida tupu, bora ziwe za wastan tu.
   
 16. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Avatar yako italiza watoto...
   
Loading...